Ijumaa, 31 Agosti 2018

wimbo wa Kikristo | Upendo wa Kweli wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu

wimbo wa Kikristo | Upendo wa Kweli wa Mungu

I
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa neema Yake. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
II
Nataka kuwa na shauku ya neno Lako katika siku zangu zote. Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia. Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo. Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
III
Ndugu! Tuinukeni na tusifu! Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja. Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili, hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu katika matendo halisi, tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu. Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha! Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda! Kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Umeme wa Mashariki Nyimbo

0 评论:

Chapisha Maoni