Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Uzoefu-wa-Maisha. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 17 Agosti 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu Nyimbo | Maisha Yetu Sio Bure

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kusogea karibu na Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu Nyimbo | Maisha Yetu Sio Bure

I
Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake. Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika. Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu. Kila siku ya maisha yetu sio bure. Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima! Kufahamu na kukumbatia fumbo hili. Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima. Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
II
Maisha ya kumpenda Mungu, yenye maana, sio matupu. Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake. Tunapata sifa ya Mungu, tunapokea wokovu Wake. Hatuishi bure; maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
III
Ni nani angewez kuwa amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa? Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu kwa utajiri na wingi mno? Kwa kuwa Mungu ametupa sisi mengi zaidi kuliko chochote kile Alichotoa katika enzi zilizopita. Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu, Aliyetuinua mimi na wewe. Tunapaswa kurudisha upendo wote uliomwagwa kwetu. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
kutoka kwa Fuata Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya

Soma Zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Alhamisi, 1 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo wa Mapenzi Matamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

I Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi. Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu. Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu. Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine, hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami. Unanipenda, ninakupenda; hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Kumbukumbu chungu hutokomea. Kumbukumbu chungu hutokomea.
II Kukufuata katika mapenzi, niko karibu Yako; furaha hutujaa Wewe na mimi. Kuelewa mapenzi Yako, mimi hukutii tu, bila kutaka kutokukutii Wewe. Nitaishi mbele Yako kuliko wakati wowote, siwezi kuwa mbali na Wewe tena. Nikiyawaza na kuyaonja maneno Yako, napenda Ulicho nacho, kile Ulicho. Napenda Ulicho nacho, kile Ulicho. Nataka Uwe maisha yangu. Nitakuruhusu Uchukue moyo wangu. Ah! Nakupenda, nakupenda. Mapenzi Yako yamenishinda, kwa hivyo nina bahati kukamilishwa ili niutosheleze moyo Wako. Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe! Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe! Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe! Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumatatu, 29 Januari 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

I Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo. Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye. Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, fikiria niliyoyafanya. Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, sasa nauona ukweli. Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi, kutimiza wajibu wangu. Kwa hali, kushindana na Mungu, mimi siheshimiki. Mungu bado Mungu, mtu ni mtu—mimi ni mjinga sana. Mjinga na mwenye kiburi kiasi cha kutoijua nafsi yangu halisi. Nilikosa aibu na kutahayarika; moyo wangu umejaa majuto. Najichukia mwenyewe, bila kujua kile ninachoishia. Shetani alinikanyaga kwa miaka mingi sana, nikawa mdharauliwa. Wakishapewa sumu na yule Mwovu, wanadamu wamepotea. Kama sitabadilishwa na kuzaliwa upya, sina maisha ya kweli.
II Tabia yangu potovu hunisumbua, huduma yangu bado i bure. Ni mjinga wa kumjua Mungu, na kujawa na dhana; jinsi gani mimi singepinga? Mungu hunihukumu, kwa uasi wangu, na ukosefu wa uadilifu. Nimeuona upendo wa kweli wa kuadibu na kuhukumu. Mungu ni mwenye haki, mimi nina hakika kabisa. Niko ana kwa ana naye. Wokovu wa vitendo wa Mungu umenisaidia kufika umbali huu. Uhalisi wa Mungu na uweza wake, vimefichuliwa kikamilifu kwa mtu. Kwa kuishi katika mwanga, namjua Mungu na kuuona uzuri wake. Nikiwa na nia ya kutimiza wajibu, Nitamtosheleza Mungu na kumpenda.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumapili, 28 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

I Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri. Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia? Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza. Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu. Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana. Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana. Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.
II Bata bukini pori katika jozi, wapuruka mbali sana. Je, watarudi na neno kutoka kwa mpendwa wangu? O tafadhali, tafadhali niazime mbawa yako. Naweza kupuruka kurudi kwa mji wangu vuguvugu. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Jinsi ninavyopenda ninaweza kuwa mzima karibuni, kuwa huru kutoka maisha machungu, ya kutangatanga. O mpendwa wangu, tafadhali nisubiri. Nitaruka mbali na anasa za dunia hii. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumamosi, 27 Januari 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki ,muziki-kwa-maisha

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi

I Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo. Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu. Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi. Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa, sina ukweli au uhalisi. Mila na sheria, zikifungia imani yangu; sikubaki na kitu ila utupu. Kushindwa kuishi kama binadamu, sistahili upendo wa Mungu kwa ajili yangu.
II Moyo wangu umeamshwa sasa, ukiniambia ni lazima nilipe upendo wa Mungu. Najichukia kwa kuwa sikuwa na dhamira, kutomtii Mungu na kuvunja moyo wake. Kamwe sijawahi kuutunza moyo wa Mungu; kamwe sikuwahi kujishughulisha na maneno Yake. Bila dhamiri, kutokuwa na hisi, ni jinsi gani naweza kuorodheshwa kama mtu? Hukumu ya Mungu hunifanya nione, nilikuwa nimepotoshwa na Shetani kabisa. Maovu, dunia hii, iliyojaa mitego, Ukweli ndio muumini lazima achague. Ee Mungu mpenzi, Unanipenda sana, kufanya kila Unaloweza kunifanya niokolewe. Kile Ulichonifanyia, nitakiweka kwa kumbukumbu! Kamwe sitasahau milele. Utunzaji wa moyo wa Mungu, hayo ni mapenzi yangu yote. Nina kusudio la kufuata ukweli. Najishughulisha kugharimia rasilmali kwa ajili ya Mungu, kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake, kujitoa mwenyewe kulipa upendo wake.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumatano, 24 Januari 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki ,wimbo wa Kikristo

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja

I Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah … Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu. Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili. Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, Ah … ah …
II Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu kote ulimwenguni. Mwanzo tukiwa tumepotoshwa lakini tumeokolewa na Mungu. Tuna lugha moja na moyo mmoja, nia moja. Tukishiriki hisia za tulipokuwa tumetengana; na uzoefu na maarifa tuliyonayo. Sasa tumeshika mwendo adhimu wa maisha, mbele yetu, maisha anisi ya baadaye yaliyojaa tumaini na mng'aro. Wakati anisi ujao, uliojaa mng'aro. Ah … ah …
III Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; lakini hivi punde tutakuwa tumetengana. Hali tumetwishwa mizigo ya kazi na mapenzi ya Mungu, tutatengana kwa ajili ya kazi ya Mungu. Tunapokusanyika, sisi hucheka na kuongea kwa furaha; tunapoondoka, tunatumainishana. Upendo wa Mungu, chanzo chetu cha kuwa watiifu hadi mwisho. Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza. Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumanne, 23 Januari 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Kama Nisingeokolewa na Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki , Mwenyezi Mungu,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Kama Nisingeokolewa na Mungu

I Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani, kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje. Kama nisingeokolewa na Mungu, nisingekuwa na baraka zangu leo, wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi ama maana ya maisha yetu. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimechanganywa kuhusu imani yangu, nikiwa ningali katika nafasi tupu nikisukuma siku, bila kujua imani yangu iwe kwa nani. Hatimaye nimeelewa mikono ya upendo ya Mungu imeshika yangu safarini. Sitaweza kwenda na kupotea njia kwa sababu niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa. Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu, yenye ari kwa mtu. Fikra danganyifu kuondolewa kabisa, nitampa Mungu mwili wangu na roho yangu.
II Kama nisingeokolewa na Mungu, nisingekuwa na baraka zangu hapa leo, wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi ama maana ya maisha yetu. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimechanganywa kuhusu imani yangu, nikiwa ningali katika nafasi tupu nikisukuma siku, bila kujua imani yangu iwe kwa nani. Hatimaye nimeelewa mkono wa upendo wa Mungu umeushika wangu safarini. Sitaweza kwenda na kupotea njia kwa sababu niko kwa mwendo huu mwangavu kukaa. Hatimaye nimeelewa dhamira ya Mungu, yenye ari kwa mtu. Fikra danganyifu kuondolewa kabisa, nitampa Mungu mwili wangu na roho yangu.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumanne, 26 Desemba 2017

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Nitampenda Mungu Milele

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha Nitampenda Mungu Milele

I Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana. Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni, na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani. Lakini Hujawahi kuniacha. Uliniongoza kupitia matatizo mengi, Umeniweka kupitia hatari nyingi. Sasa najua ya kuwa Wewe Umenipenda.
II Ee Mungu! Waniongoza kwa maisha mapya. Nikifurahia Maneno yako, Nimeelewa mapenzi yako. Maneno yako hunihukumu na kuniadibu, na kutakasa upotovu wangu. Kupitia majaribio nimejifunza kukutii Wewe. Kukua katika neno la Mungu, nimekuja kumjua Mungu. Niko tayari kufanya wajibu wangu kwa shahidi Wako na utukufu. Nitakupenda Wewe kwa muda wote. Kama kubarikiwa au kulaaniwa, mimi nitafurahi kuwa katika huruma Yako. Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki , Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumanne, 12 Desemba 2017

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu

I
Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu. Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya. Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya, vyote vimetakaswa. Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha, nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
II
Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu, isifuni hekima Yake, isiyoshindwa. Isifuni tabia Yake yenye haki, msifuni kwa kuwa ni Mungu mwaminifu. Kazi halisi ya Mungu imebadilisha tabia yangu ya kutotii. Nimeadhimiwa na kazi iliyoteuliwa ya Mungu, kushuhudia kwa matendo Yake matakatifu. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
III
Wale wanaompenda Mungu, mtiini daima, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi wa neno Lake. Baada ya kuacha dhambi zao na uchafu, wote huwa watakatifu. Kuwa na ushuhuda kwa jina takatifu la Mungu, baada ya kuutosheleza moyo wa Mungu. Uadilifu na utakatifu kujaa katika ulimwengu huu, kila mahali ni pazuri na papya. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Kuimba sifa Kwake kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Kuimba sifa kwa Mungu kutoka kwa nyoyo zetu zenye furaha.
IV
Tukuzeni ufanikishaji wa kazi ya Mungu, Mungu ametukuzwa kikamilifu, wote na yeyote anafanya kutii, kila mmoja ana mahali pa mwisho pa kupumzika. Watu wa Mungu, watakatifu hata zaidi, humtukuza Mungu wa kweli. Pamoja na Yeye, wametota kwa furaha. Wametota kwa furaha. Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza! Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe. Mtukuzeni! Pamoja, sisi humtukuza! Nyimbo zetu za sifa hazitafika kikomo kamwe, hazitafika kikomo.