Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Neno-la-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Neno-la-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 8 Julai 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo za Neno la Mungu

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi. Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia, ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu. Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba. Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu, mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
II
Kwa sababu ni Mungu anayemfanyia mwanadamu kazi, mwanadamu ana hatima na hatima yake hivyo inahakikishwa, hatima yake inahakikishwa. Yale ambayo mwanadamu hufuatilia na kutamani ni matarajio aliyo nayo anapofuata tamaa badhirifu za kimwili, badala ya hatima, hatima inayotazamiwa na mwanadamu. Yale ambayo Mungu amemwandalia mwanadamu, kwa upande mwingine, ni baraka na ahadi zinazomngoja mwanadamu atakapotakaswa, ambayo Mungu alimwandalia baada ya kuiumba dunia. Hizo baraka na ahadi hazichafuliwi na fikira
ya mwanadamu na mawazo, au chaguo lake au mwili. Hii hatima haijaandaliwa kwa mtu mahsusi, mtu mahsusi, lakini ni mahali pa mapumziko kwa kila mwanadamu. Hii ndiyo hatima inayofaa, hatima inayofaa kwa mwanadamu.
III
Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu. Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba. Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu, mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia. Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu. Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba. Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu, mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Alhamisi, 8 Februari 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumba

I Kwa mamlaka ya Muumba, miujiza yaonekana, ikiwa na mvuto kwa mwanadamu, Mwanadamu hutazama kwa butwaa. Nguvu Zake huleta furaha; mwanadamu hustabishwa, kwa furaha tele. Kwa kupendezwa na kushangaa, Yeye hushangilia. Mwanadamu huguswa waziwazi; na kunyenyekea kwa hofu. Heshima utolewa naye unganishwa na Mungu. Matendo ya Muumba huathiri moyo wa mwanadamu, husafisha nafsi yake, nakukidhi roho ya mwanadamu. Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza, kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote.
II Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea. Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea. Viumbe majini au wa angani, kwa amri ya Muumba viwepo kwa kila aina ya uhai. Kwa amri ya Muumba, viumbe hawa huishi kwa aina. Hii amri, hii kanuni, hakuna kiumbe chaweza kubadili Kwa kukosa ujasiri na uwezo wa kuvuka mipaka iliyowekwa na Mungu, waliishi na kuongezeka kwa idadi kwa mpango wa Muumba. Kwa madhubuti, wanashikilia sheria za Mungu; kwa uangalifu, wanashika amri za Mungu zisizonenwa hadi leo. Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza, kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote. Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea. Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
III Inayostahili kuelewa kwa mwanadamu, hii ni kazi kuu mno. Inayostahili ujuzi wa mwanadamu, hii ni kazi kuu mno. Mamlaka Yake ya kipekee yanaonyesha nguvu Yake kuumba na kuamuru vyote vije katika uwepo, kuwa na mamlaka juu ya uumbaji wote, kuweka uhai juu ya vitu vyote. Yaonyeshwa katika uwezo Wake kufanya kuwepo mara ya kwanza na milele, vitu vyote vionekane duniani, viwepo na maumbo kamili, uhai na majukumu. Kwa kutozuiliwa na muda, kutokuwepo chini ya vizuizi, mawazo ya Muumba hayazuiliwi na nafasi. Matamshi Yake yote, kila wazo Analowaza, kila ufunuo wa mamlaka Yake, kazi bora kwa vitu vyote. Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea. Kwa nguvu za mamlaka Yake, matendo ya ajabu hutokea.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumanne, 16 Januari 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Zingatia Majaliwa ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Zingatia Majaliwa ya Binadamu

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu; mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa, ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu, kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova, kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni. Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha. Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa. Wengine wote watapata angamizwa, na kupokea adhabu wanayostahili. Mungu awahimiza makabila yote mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu. Zingatia hatima ya wanadamu wote u-u-u-u-uh!
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Ijumaa, 8 Desemba 2017

Nyimbo za Neno la Mungu |Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

Smiley face

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

I Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao, mshangao na uvutiwaji.
II Upendo wa Mungu unaofurika umepewa mwanadamu bure, upendo wa Mungu umemzunguka. Mwanadamu, maasumu na safi, bila ya wajibu wa kumnyima uhuru, huishi kwa furaha kamili machoni mwa Mungu. Mungu humtunza mtu, na mtu huishi chini ya mabawa Yake. Yote ambayo mtu hufanya, maneno yake yote na matendo, yamefungwa pamoja na Mungu, hayawezi kujitenga.
III Kutoka wakati wa kwanza Mungu alipowaumba wanadamu, Mungu aliwaweka chini ya uangalizi Wake. Ni uangalizi wa aina gani huo? Ni jukumu Lake kumlinda mtu na kumchunga mtu. Anamtumainia mtu kuamini katika, kuamini katika na kuyatii maneno Yake. Hiki ndicho kitu cha kwanza ambacho Mungu alikitarajia kwa wanadamu.
IV Akiwa na tumaini hili la kwanza, Mungu aliyasema maneno yafuatayo: "Matunda ya kila mti wa bustani mwaweza kuyala: Lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, mema na mabaya, msiyale: kwa maana siku mtakapoyala matunda ya mti huo hakika mtakufa." Maneno haya rahisi, yakisimamia mapenzi ya Mungu, yaonyesha kuwa kumjali mtu kulikuwa tayari katika moyo Wake.
V Hivyo, kwa maneno haya rahisi, tunaona kilicho moyoni mwa Mungu. Je, kuna upendo katika moyo Wake? Si kuna utunzaji na dhima? Upendo na utunzaji wa Mungu ni jambo ambalo linaweza kuonekana na kuhisiwa. Kama wewe ni mtu wa dhamiri na una ubinadamu, utajihisi vuguvugu, ukitunzwa na kupendwa, utajihisi mwenye heri na furaha.
VI Unapoyahisi mambo haya, utatenda vipi mintarafu ya Mungu? Utakuwa mwaminifu Kwake? Upendo wa staha, upendo wa staha hutakua katika moyo wako? Moyo wako utasogea karibu na Yeye? Kutokana na haya tunaona, jinsi upendo wa Mungu ulivyo muhimu kwa mtu. Lakini hata muhimu zaidi kuliko hili ni kwamba mtu anaweza kuuhisi na kuuelewa upendo wa Mungu.
Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.