Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu-wa-MV-za-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu-wa-MV-za-Ufalme. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 30 Septemba 2018

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Worship and Praise Dance | "Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu" | The Kingdom of Christ Is Paradise for the Honest (Swahili Subtitles)

Safi na mwaminifu kama mtoto, asiye na hatia na mchangamfu, aliyejawa na nguvu za ujana, wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni. Hakuna uongo, udanganyifu au hadaa, na moyo ulio wazi na mwaminifu, wanaishi na heshima. Wanaitoa mioyo yao kwa Mungu, Mungu anawaamini, na wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.
Wale wanaopenda ukweli wote wana mioyo ya uaminifu. Watu waaminifu hufurahia kutenda ukweli, na kwa kumtii Mungu mioyo yao ina amani. Wanamcha Mungu, wanaepuka maovu na wanaishi kulingana na maneno ya Mungu. Wanaishi katika maneno ya Mungu na wamewekwa huru na kuachiliwa. Wanakubali uchunguzi wa Mungu na kuishi mbele Yake. Kumpenda Mungu ni kuwa na furaha na mwenye shangwe.
Ndugu, tumemwamini Mungu tangu tulipokuwa wadogo. Je, tuna furaha? Ndiyo, tuna furaha! Nina furaha pia!
Ninapompenda Mungu, moyo wangu una utulivu na una furaha, na ninaishi kwa urahisi ninapotenda kulingana na maneno ya Mungu. Moyoni mwangu kuna Mungu tu, kuna ukweli tu, maneno ya Mungu yamekuwa maisha yangu. Nikiishi chini ya uongozi wa maneno ya Mungu kila siku, ninabarikiwa na Mungu na Roho Mtakatifu ananiongoza. Wanakubali uchunguzi wa Mungu na kuishi mbele Yake. Kumpenda Mungu ni kuwa na furaha na mwenye shangwe. Nikiishi chini ya uongozi wa maneno ya Mungu kila siku, ninabarikiwa na Mungu na Roho Mtakatifu ananiongoza. Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu, na ni makao yao ya kupendeza.
kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya
Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu video
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wimbo wa Kikristo

Jumanne, 28 Agosti 2018

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

I
Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa. Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu. Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru. Na sisi tunafurahi iwezekanavyo, tukiishi katika nuru ya Mungu, kufurahi iwezekanavyo, kuishi katika nuru ya Mungu. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, tuna njia ya kubadilika, na imani yetu isiyo dhahiri inapungua. Tunaimba sifa, ee.
Tunamfuata Mungu kwa karibu, mafunzo ya ufalme tunayakubali. Hukumu za Mungu ni kama upanga, ikifunua mawazo tuliyo nayo. Kiburi, ubinafsi, na udanganyifu havifichiki. Hapo tu ndipo ninaona ukweli wangu. Kwa aibu ninamwangukia Mungu, nimefichuliwa. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, sisi tuko uso kwa uso na Mungu, na katika furaha Yake tunafurahia. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu. Wewe ni mtakatifu, Wewe ni mwenye haki, ee. Tamanio langu ni kutenda ukweli, kuacha mwili, kuzaliwa upya, kuufaraji moyo Wako. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, hukumu Yako imeniokoa kweli. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, tabia yangu imebadilika. Kwa sababu Yako, nimebarikiwa, ee, nimebarikiwa.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ngoma za Sifa

Jumamosi, 25 Agosti 2018

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

I
Ee Bwana, Nimefurahia nyingi ya neema Yako. Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani? Je, sijapata ukweli na uzima?
II
Kusoma maneno haya kunaweza kuyajibu maswali yako. "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atajua Mungu na kuidhinishwa na Mungu. Kama hutatafuta njia ya maisha inayotolewa na Kristo wa siku za mwisho, basi kamwe hutapata kibali cha Yesu, na kamwe hutahitimu kuingia lango la ufalme wa mbinguni, kwa ajili nyote ni makaragosi na wafungwa wa historia" (Kitabu Chafunguliwa na Mwanakondoo). Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ameonyesha ukweli wote kutakasa, kuwaokoa wanadamu, kumletea mwanadamu njia ya uzima wa milele. Kwa kukubali na kutii kazi ya Mungu, kutenda na kupitia maneno Yake, mwanadamu anaweza kuelewa ukweli na kupata uzima.
III
Mungu alinichagua kutoka katika bahari kubwa ya watu, na kupanga kwa njia ya kimiujiza kwamba nije upande Kwake. Maneno Yake yenye fadhili yameupa moyo wangu upendo. Nikiwa na ukweli, naishi katika furaha isiyo na mwisho. Sauti hiyo ya kawaida, sura hiyo nzuri havijabadilika tangu mwanzo. Katika familia ya Mungu ninaonja utamu wa upendo Wake. Ninaegemea karibu na Yeye na sitaki kuondoka tena. Bila Mungu, siku zilikuwa ngumu kustahimili. Niliyumbayumba pamoja na kila hatua iliyojaa machungu. Ni kwa ulinzi wa siri wa Mungu tu kwamba nilifikia leo. Na sasa nikiwa na maneno ya Mungu upande wangu mimi nimeridhika.
IV
Muda unapopita yanakuja mabadiliko makubwa. Lakini hakuna chochote kitakachofuta moyoni mwangu upendo wangu kwa Mungu. Ahadi ya maelfu ya miaka, kiapo kisichobadilika. Baada ya mizunguko mingi ya maisha na kifo ninarudi upande wa Mungu. Amepanda maisha moyoni mwangu. Maneno Yake yananilisha na kuninyunyizia maji. Kupitia mateso na taabu maisha yangu yanazidi kuwa yenye nguvu. Barabara mbaya na kushindwa ni misingi ya mafunzo kwangu. Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko. Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa. Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele. Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko. Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa. Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumatatu, 2 Julai 2018

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God

Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake, mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu. Mara utakapomwelewa Mungu wako, utaelewa kile kilicho moyoni Mwake, na kufurahia kile kilicho ndani Yake kwa imani na usikivu wako wote. Unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu, kidogo kidogo, siku baada ya siku, unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu, moyo wako utakuwa wazi Kwake. Moyo wako unapokuwa wazi kwa kweli, moyo wako unapokuwa wazi kwa kweli, utaona madharau, utaiona aibu ya maombi yako ya kupita kiasi na yenye ubinafsi. Moyo wako unapokuwa wazi kwa kweli, moyo wako unapokuwa wazi kwa kweli, utaona dunia isiyo na mwisho moyoni mwa Mungu, na kuwa katika ulimwengu wa maajabu yasiyosimuliwa. Katika ulimwengu huu hakuna uongo, hakuna udanganyifu, hakuna giza na hakuna uovu. Kuna ukweli na uaminifu tu; haki na ukarimu pekee. Yeye ni upendo, Yeye anajali, ana huruma isiyo na mwisho. Maishani mwako, unahisi furaha, Unapoufungua moyo wako kwa Mungu. Hekima na nguvu Zake vinajaza ulimwengu huu, na vile vile mamlaka na upendo Wake. Unaweza kuona kile Mungu alicho na Alicho nacho, kinachomletea furaha, kinachomletea matatizo, kinachomletea huzuni na hasira, vyote viko wazi kwa kila mmoja kuona, unapoufungua moyo wako kwa Mungu na kumwalika aingie ndani.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Soma Zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, nyimbo-za-injili,

Jumapili, 3 Juni 2018

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa. Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi?
I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu. Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri. Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe? Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia? Wewe ndiye Unayenipa upendo. Wewe ndiye Unayenijali. Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati. Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu. Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga. "Usimfanye mpenzi wangu angoje sana. Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana." Usisahau kwenda na upendo wangu.
II
Bata bukini wa mwituni wawili wawili, wakipaa mbali zaidi. Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu? Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako. Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto. Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu. Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure. Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka, kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu. Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri. Nitapaa mbali na raha ya hii dunia. Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu. Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu linalokufurahisha. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure. Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumanne, 22 Mei 2018

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu. Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako. Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu. Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara. Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena. Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana. Soma neno Lake, elewa ukweli Wake. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu! Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake. Ingawa tunakosa, tunapaswa kutafuta kumpenda Mungu. Mradi tunampenda Yeye, bila shaka tutapokea sifa Yake. Lazima tufuatilie ukweli na kumshuhudia Mungu. Huu ni wajibu wetu ambao lazima tuufanye. Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu, usipinge tena. Kujali kwako mwili, kunamuumiza Yeye sana. Soma neno Lake, elewa ukweli Wake. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu! Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake. Hivyo ishi kama mwanadamu mtakatifu! Haijalishi ni jaribio lipi ama hukumu inayokuja, tutafanya kazi kumfurahisha Yeye. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake, na uishi ukweli Wake, na uishi ukweli Wake. Njoo mara kwa mara mbele ya Mungu na uishi ukweli Wake. kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo kwa Mungu
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumanne, 15 Mei 2018

Wimbo za Sifa "Upendo wa Kweli wa Mungu" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitles)

Wimbo za Sifa "Upendo wa Kweli wa Mungu" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitles)

Leo naja mbele ya Mungu tena, naona uso Wake wa kupendeza. Leo naja mbele ya Mungu tena, nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Leo naja mbele ya Mungu tena, kufurahia neno Lake kunanijaza na furaha. Leo naja mbele ya Mungu tena, moyo wangu una mengi ya kusema. Ni maneno Yake mororo yanayoninyunyizia na kunirutubisha ili nikue. Ni maneno Yake makali yanayonitia moyo ili nisimame tena. Ee Mungu! Tunaweza kukusifu kwa kuwa Umetuinua! Tunaweza kukuimbia leo yote kwa sababu ya baraka na neema Yako.
Ee Mungu, Unatupenda sana kweli! Unatufanya tufurahie maneno Yako kila siku! Ee Mungu, Unatupenda sana kweli! Unatupa nuru kila siku! Ee Mungu, Unatupenda sana kweli! Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako. Unatuepusha na ushawishi wa Shetani. Ndugu, fanyeni upesi na muinuke! Tumsifu Mungu wetu! Hebu tufurahie jinsi ambavyo Ametukusanya hapa leo. Tuwe huru kabisa kutokana na mizigo ya mwili! Sifa kwa Mwenyezi Mungu kwa bidii! Tutimize wajibu wetu kwa moyo wetu wote na nguvu zote, tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu kwa matendo. Tutakupenda milele, Mwenyezi Mungu wa Kweli!
kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumapili, 22 Aprili 2018

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)

Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri. Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia? Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza. Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu. Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana. Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana. Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.
Bata bukini pori katika jozi, wapuruka mbali sana. Je, watarudi na neno kutoka kwa mpendwa wangu? O tafadhali, tafadhali niazime mbawa yako. Naweza kupuruka kurudi kwa mji wangu vuguvugu. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Jinsi ninavyopenda ninaweza kuwa mzima karibuni, kuwa huru kutoka maisha machungu, ya kutangatanga. O mpendwa wangu, tafadhali nisubiri. Nitaruka mbali na anasa za dunia hii. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wimbo wa ibada,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumamosi, 21 Aprili 2018

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

La … la la la … la la la…. La … la la la … la la la … la…. Jua la haki lapanda kutoka Mashariki. Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia. Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu. Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu. Ingawa mimi huamka peke yangu asubuhi mapema, Ninahisi furaha ninapotafakaria neno la Mungu. Maneno mororo ni kama mama mpenzi, maneno ya hukumu kama baba mkali. (Ala….) Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu. A ala … a ala … a ala … a ala …. Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu. A ala … a ala … a ala … a ala …. Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu.
La la la … la la la…. La la la … la la la … la…. Mapenzi ya Mungu yamefichuliwa—kuwatimilisha wapenzi wa kweli wa Mungu. Watu wachangamfu na maasumu wote hutoa sifa kwa Mungu, na tucheze ngoma nzuri pamoja kandoando ya Mungu wa kweli. Watu wanaitwa na sauti ya Mungu kutoka sehemu mbalimbali warudi. Tumefadhiliwa kwa maneno ya Mungu. Tumetakaswa na hukumu ya maneno ya Mungu. Upendo wetu umepata nguvu kwa kusafishwa. Twahisi utamu kufurahia mapenzi ya Mungu. (Ala….) Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wa vitendo. A ala … a ala … a ala … a ala …. Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wangu. A ala … a ala … a ala … a ala …. Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wangu. Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu. Asante! (Asante!) (Asante!) (Asante!) Tunakupenda!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo kwa Mungu
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumapili, 17 Desemba 2017

Mungu ni Mkuu | “Upendo wa Kweli wa Mungu” Swahili Gospel Songs | Asante Mungu | Haleluya

Upendo wa Kweli wa Mungu

Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa neema Yake. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda! Nataka kuwa na shauku ya neno Lako katika siku zangu zote. Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia. Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo. Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Ndugu! Tuinukeni na tusifu! Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja. Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili, hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu katika matendo halisi, tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu. Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha! Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda! Kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Kanisa la Mwenyezi Mungu, muziki kwa maisha,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumamosi, 16 Desemba 2017

Maisha Mapya Katika Ufalme - “Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja” (Video Rasmi ya Muziki)

Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja

Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah … Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu. Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili. Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu kote ulimwenguni. Mwanzo tukiwa tumepotoshwa lakini tumeokolewa na Mungu. Tuna lugha moja na moyo mmoja, nia moja. Tukishiriki hisia za tulipokuwa tumetengana; na uzoefu na maarifa tuliyonayo. Sasa tumeshika mwendo adhimu wa maisha, mbele yetu, maisha anisi ya baadaye yaliyojaa tumaini na mng'aro. Wakati anisi ujao, uliojaa mng'aro. Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; lakini hivi punde tutakuwa tumetengana. Hali tumetwishwa mizigo ya kazi na mapenzi ya Mungu, tutatengana kwa ajili ya kazi ya Mungu. Tunapokusanyika, sisi hucheka na kuongea kwa furaha; tunapoondoka, tunatumainishana. Upendo wa Mungu, chanzo chetu cha kuwa watiifu hadi mwisho. Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza. Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, muziki kwa maisha,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Ijumaa, 15 Desemba 2017

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song

Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza. Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi? Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; jua linaaangaza kotekote. wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Dunia ni ya mbingu, mbingu inaungana na dunia. Mwanadamu ndiye ukamba unaounganisha mbingu na dunia. Kwa sababu ya utakatifu wa mwanadamu, kwa sababu ya upya wake, mbingu haijifichi kutoka kwa dunia tena, dunia haiinyamazii mbingu tena. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Nyuso za ubinadamu zimezingirwa na tabasamu. Ukiwa umejificha mioyoni mwao, utamu unaenda kwa mwendo mrefu. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja, wakiwa na amani na kila mmoja, wakiwa na amani na kila mmoja.
kutoka kwa Neno Laonekana Katika Mwili
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Gospel, Umeme wa Mashariki,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumamosi, 9 Desemba 2017

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela “Yasifu Maisha Mapya”

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela “Yasifu Maisha Mapya”

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe! Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu!
Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu. Ni neno la Mungu ambalo limenibadilisha, kwa hivyo nina maisha mapya ya kumsifu Mungu. (Halleluya!) Maumivu na mkanganyo vimetoweka; Nimefunguliwa katika roho na ninaimba wimbo. (Halleluya!) Ni vizuri kweli kuelewa ukweli. Nimeupita mwili, mimi ni huru sana! (Msifu Mungu!) Dhana zote na kutokuelewana kumeondolewa mbali, tabia yangu asi imebadilishwa. Mimi hutembea katika njia ng'avu ya maisha ya binadamu; upendo wa Mungu ni wa thamani na halisi sana! (Msifu Mungu!) Ni furaha ya Mungu kuufurahia upendo wa Mungu. Nimeuonja upendo wa Mungu na siwezi kumwacha Mungu tena.
Ndugu wako pamoja, bila vikwazo au umbali. Sisi huhudumu kwa uratibu katika kanisa, kwa moyo mmoja na akili, na kwa furaha sisi huimba wimbo wa sifa. Kuimba kumejaa upendo wa Mungu. Twaimba mioyo minyofu. Mungu wa vitendo Ametufanya wapya na kutubadilisha, kutufanya wapya na kutugeuza kuwa mtu mpya. Ni nani hadhihirishi upendo katika moyo wake? Ni nani hadhihirishi mapenzi katika moyo wake? Unacheza kumtukuza Mungu, nami napiga makofi yangu kando. Tumeipita mipaka ya mizigo ya dunia, familia, na mwili; tukipendana, sisi ni watamu! Siku zilizopita za maisha ya zamani kamwe hazitarudi, na wakati wa thamani uko mbele. Wakati wa thamani uko mbele!
Ni la kufurahisha sana kutekeleza wajibu wangu na kushuhudia, sisi huwa na ushirika kuhusu ukweli, tuliofunguliwa na huru. Watu wa Mungu hufurahia maisha mapya; maisha bashashi ya ubinadamu yanipungia. (O.) Ni la kufurahisha sana kutekeleza wajibu wangu na kushuhudia, sisi huwa na ushirika kuhusu ukweli, tuliofunguliwa na huru. Watu wa Mungu hufurahia maisha mapya; maisha bashashi ya ubinadamu yanipungia. Nitamwabudu Mungu wa vitendo milele! Haleluya!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kwaya,Nyimbo,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Ijumaa, 8 Desemba 2017

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa”

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa”

I Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa. Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana. Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema, yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.
II Mwanadamu alitoka mavumbini, na Mungu akampa uhai. Shetani alishuka chini kuwapotosha wanadamu. Ubinadamu na mantiki yao yamepotea. Kizazi baada ya kizazi, kimeanguka tangu siku hiyo. Lakini Wewe ni … Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kuabudu? Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?
III Mungu alimuumba mwanadamu na anampenda sana, kiasi kwamba Alipata mwili tena, Alistahimili mazuri na mabaya, taabu na huzuni, Akituokoa na kutuleta mahali pazuri. Tutakushukuru Wewe daima. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kuabudu? Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu?