Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ngoma-ya-Kikristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ngoma-ya-Kikristo. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 13 Machi 2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"

I Mwenyezi Mungu mwenye mwili Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki, kama tu vile jua la haki likichomoza; mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana. Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma Anajificha kwa unyenyekevu miongoni mwa wanadamu, Akitoa ukweli, kuzungumza na kufanya kazi. Mwenyezi Mungu yuko uso kwa uso nasi. Mungu uliyekuwa na kiu naye, Mungu niliyemngoja, leo anaonekana kwetu kwa utendaji. Tuliutafuta ukweli, tulitamani sana haki; ukweli na haki vimekuja miongoni mwa wanadamu. Unampenda Mungu, nampenda Mungu; mwanadamu amejaa sana matumaini mapya. Watu wanatii, mataifa yanamwabudu Mungu mwenye mwili wa utendaji.
II Mwenyezi Mungu huonyesha ukweli na kuleta hukumu, Akifichua tabia ya Mungu yenye haki. Kwa hukumu, kuadibu na majaribu ya maneno, Anashinda na kukamilisha kikundi cha washindi. Maneno ya Mungu, ya gadhabu na uadhama, yanahukumu na kuutakasa uovu wa mwanadamu, yakiharibu kabisa enzi ya giza. Ukweli na haki vinatawala duniani. Dunia yote inashangilia, watu wote wanafurahia; Tabenakulo ya Mungu inawasili miongoni mwa wanadamu. Ulimwengu unatikisika na mataifa yanaabudu, Mapenzi ya Mungu yanatekelezwa duniani. Dunia yote inashangilia, watu wote wanafurahia; Tabenakulo ya Mungu inawasili miongoni mwa wanadamu. Ulimwengu unatikisika na mataifa yanaabudu, Mapenzi ya Mungu yanatekelezwa duniani. Ufalme wa Kristo unapatikana miongoni mwa wanadamu.
Kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ngoma ya Kikristo
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.