Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tafuta Ufalme-wa-Mungu-Kwanza. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tafuta Ufalme-wa-Mungu-Kwanza. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 6 Agosti 2018

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended

Descended
I
Aa ... hii hapa anga, oh ... anga iliyo tofauti sana! Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi. Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu, Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za mwisho. Maneno ya Mungu yanaweka wazi ukweli wa upotovu wetu, tunatakaswa na kukamilishwa na kila aina ya jaribio na usafishaji. Tunayaaga maisha yetu maovu na kubadilisha sura yetu ya zamani kuwa sura mpya. Tunatenda na kuzungumza kwa maadili na kuruhusu maneno ya Mungu yatawale. Moto wa upendo wetu kwa Mungu unawashwa mioyoni mwetu. Tunasambaza maneno ya Mungu, kumshuhudia, na kusambaza injili ya ufalme. Tunajitolea nafsi yetu yote kumridhisha Mungu, na tuko tayari kuteseka maumivu yoyote. Shukrani ziwe kwa Mwenyezi Mungu kwa kubadilisha jaala yetu. Tunaishi maisha mapya na tunakaribisha kesho mpya kabisa!
II
Ndugu wanapokutana pamoja, furaha inaonyesha kwenye nyuso zao. Tunasoma maneno ya Mungu na kushirikiana ukweli, tunaungana katika upendo wa Mungu. Sisi ni watu waaminifu, safi na wazi, hakuna ubaguzi kati yetu. Tunaishi kwa ukweli, tukipendana, tukijifunza kutoka kwa nguvu za kila mmoja na kurekebisha upungufu wetu. Kwa akili moja tunatimiza wajibu wetu na kutoa dhabihu yetu. Katika njia ya kwenda katika ufalme, maneno ya Mungu hutuongoza kupita dhiki na taabu. Maneno ya Mungu hufunua uweza Wake, na hushinda na kufanya kundi la washindi. Wateule wa Mungu kutoka katika mataifa yote wanarudi mbele ya Mungu. Watu wa Mungu wanaishi pamoja na Mungu na kumwabudu milele. Mapenzi ya Mungu yanatendwa duniani, ufalme wa Kristo umeonekana. Haki na utakatifu wa Mungu vinadhihirika, mbingu na dunia zinafanywa upya. Watu wa ufalme wanamwogopa Mungu na kuepuka mabaya, na wanaishi katika nuru. Watu wa Mungu wanaishi pamoja na Mungu na kumwabudu milele. Mapenzi ya Mungu yanatendwa duniani, ufalme wa Kristo umeonekana. Haki na utakatifu wa Mungu vinadhihirika, mbingu na dunia zinafanywa upya. Watu wa ufalme wanamwogopa Mungu na kuepuka mabaya, na wanaishi katika nuru. Ee, we … hii ni anga, oh ... anga iliyo tofauti sana!
kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, nyimbo za injili