Jumanne, 24 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Sinema za Injili

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?"

Mungu asema, "Ni viumbe wangapi wanaoishi na kuzaana katika ulimwengu mpana, wakifuata sheria ya maisha tena na tena, wakifuata sheria isiyobadilika. Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa. Na kwa hivyo wanadamu hawawezi kujizuia ila kujiuliza wenyewe; Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii? Na ni nani muumbaji wa mwanadamu? Je, kweli wanadamu waliumbwa na mazingira asilia? Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?" kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Kotekote katika enzi nyingi, watu wengi wametumia maisha yao yote kuchunguza maswali haya, lakini hakuna yeyote kwa hakika aliyepata majibu. Leo, Muumba ametuongelesha hadharani sisi wanadamu na kuyafichua mafumbo haya yote yeye mwenyewe, yote ambayo yamejumuishwa katika filamu ijayo ya hali halisi Yule Ashikiliaye Ukuu Juu ya Kila kitu. Hebu tuutambue ukuu wa Mungu juu ya vitu vyote na matendo Yake ya ajabu kwa njia ya karamu hii ya ajabu ya macho!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

0 评论:

Chapisha Maoni