Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi ya Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi ya Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 24 Machi 2018
Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
Machi 24, 2018kumjua-Mungu, Matamshi ya Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VITABUNo comments
Mwenyezi Mungu alisema, Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wa sisi wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu.