Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Neno-Laonekanakatika-Mwili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Neno-Laonekanakatika-Mwili. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 17 Aprili 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Mbili
Aprili 17, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekanakatika-Mwili, VITABUNo comments
Watu wanapokusanyika pamoja na Mimi, moyo Wangu unajawa na furaha. Mara moja, Ninatoa baraka zilizo mkononi Mwangu miongoni mwa binadamu, ili watu waweze kukusanyika kwa mkutano na Mimi, na kutokuwa maadui wanaoniasi lakini marafiki wanaotangamana na Mimi.