Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Sifa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Sifa. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 26 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Njia Yote Pamoja na Wewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo za Sifa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Njia Yote Pamoja na Wewe

I
Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi, kwa namna fulani nikiuumiza moyo Wako. Na bado Hunitendei kulingana na dhambi zangu lakini Unafanya kazi kwa ajili ya wokovu wangu. Ninapokuwa mbali, Unaniita nirudi kutoka hatarini. Ninapoasi, Unauficha uso Wako, giza likinifunika. Ninaporudi Kwako, Unaonyesha neema, Unatabasamu ili kukumbatia. Shetani anaponipiga, Unatibu vidonda vyangu, Unaupa joto moyo wangu. Shetani anaponiumiza, Uko nami kuanzia mwanzo hadi mwisho wa majaribu. Alfajiri itafika karibuni, na anga itang’aa samawati kama awali, wakati Uko nami. Alfajiri itafika karibuni, anga itang’aa samawati kama awali, wakati Uko nami.
II
Wewe ni uhai wangu, Wewe ni Bwana wangu. Mwenzi wa kila siku, kivuli cha karibu kando yangu. Ukinifunza jinsi ya kuwa binadamu na kunipa ukweli na uhai. Pamoja na Wewe maisha yangu yanasonga mbele kwa utukufu. Bila chaguo langu, natii amri Yako. Kuwa kiumbe wa kweli, narudi upande Wako. Kuishi katika uwepo Wako, nazungumza na Wewe na kusikia sauti Yako. Hutangoja tena katika umbali mpweke. Pamoja na Wewe, hakuna kuogopa dhoruba. Usiku unaponifunika, siko pekee yangu tena. Pamoja na Wewe kando yangu, hatari au matatizo, naweza kuvikabili. Pamoja na Wewe, safari hazitakuwa ngumu sana. Njia zenye mabonde zinapita katika matatizo, zinafungua njia kwenda kwa chemichemi ya kupendeza. Alfajiri itafika karibuni, anga itang’aa samawati kama awali, wakati Uko nami. Pamoja na Wewe, hakuna kuogopa dhoruba tena. Usiku unaponifunika, siko pekee yangu tena. Pamoja na Wewe kando yangu, hatari na matatizo, naweza kuvikumba. Pamoja na Wewe, safari haziwezi kuwa ngumu sana. Njia zenye mabonde zinapita katika matatizo, zinafungua njia kwenda kwa chemichemi ya kupendeza. Alfajiri itafika karibuni, anga itang’aa samawati kama awali. Niko pamoja na Wewe.
kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya

Soma Zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumatatu, 21 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Njia Yote Pamoja na Wewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wimbo wa ibada,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Njia Yote Pamoja na Wewe

I Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi, kwa namna fulani nikiuumiza moyo Wako. Na bado Hunitendei kulingana na dhambi zangu lakini Unafanya kazi kwa ajili ya wokovu wangu. Ninapokuwa mbali, Unaniita nirudi kutoka hatarini. Ninapoasi, Unauficha uso Wako, giza likinifunika. Ninaporudi Kwako, Unaonyesha neema, Unatabasamu ili kukumbatia. Shetani anaponipiga, Unatibu vidonda vyangu, Unaupa joto moyo wangu. Shetani anaponiumiza, Uko nami kuanzia mwanzo hadi mwisho wa majaribu. Alfajiri itafika karibuni, na anga itang’aa samawati kama awali, wakati Uko nami. Alfajiri itafika karibuni, anga itang’aa samawati kama awali, wakati Uko nami.
II Wewe ni uhai wangu, Wewe ni Bwana wangu. Mwenzi wa kila siku, kivuli cha karibu kando yangu. Ukinifunza jinsi ya kuwa binadamu na kunipa ukweli na uhai. Pamoja na Wewe maisha yangu yanasonga mbele kwa utukufu. Bila chaguo langu, natii amri Yako. Kuwa kiumbe wa kweli, narudi upande Wako. Kuishi katika uwepo Wako, nazungumza na Wewe na kusikia sauti Yako. Hutangoja tena katika umbali mpweke. Pamoja na Wewe, hakuna kuogopa dhoruba. Usiku unaponifunika, siko pekee yangu tena. Pamoja na Wewe kando yangu, hatari au matatizo, naweza kuvikabili. Pamoja na Wewe, safari hazitakuwa ngumu sana. Njia zenye mabonde zinapita katika matatizo, zinafungua njia kwenda kwa chemichemi ya kupendeza. Alfajiri itafika karibuni, anga itang’aa samawati kama awali, wakati Uko nami. Pamoja na Wewe, hakuna kuogopa dhoruba tena. Usiku unaponifunika, siko pekee yangu tena. Pamoja na Wewe kando yangu, hatari na matatizo, naweza kuvikumba. Pamoja na Wewe, safari haziwezi kuwa ngumu sana. Njia zenye mabonde zinapita katika matatizo, zinafungua njia kwenda kwa chemichemi ya kupendeza. Alfajiri itafika karibuni, anga itang’aa samawati kama awali. Niko pamoja na Wewe.
kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Uimbe Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana./

Ijumaa, 8 Desemba 2017

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa”

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa”

I Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa. Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana. Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema, yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.
II Mwanadamu alitoka mavumbini, na Mungu akampa uhai. Shetani alishuka chini kuwapotosha wanadamu. Ubinadamu na mantiki yao yamepotea. Kizazi baada ya kizazi, kimeanguka tangu siku hiyo. Lakini Wewe ni … Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kuabudu? Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?
III Mungu alimuumba mwanadamu na anampenda sana, kiasi kwamba Alipata mwili tena, Alistahimili mazuri na mabaya, taabu na huzuni, Akituokoa na kutuleta mahali pazuri. Tutakushukuru Wewe daima. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kuabudu? Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu?
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.