Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo muziki-kwa-maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo muziki-kwa-maisha. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 28 Julai 2018
Wimbo za wokovu | “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” | Wema wa Mungu
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
II
Kwa sababu ni Mungu anayemfanyia mwanadamu kazi, mwanadamu ana hatima
na hatima yake hivyo inahakikishwa, hatima yake inahakikishwa.
Yale ambayo mwanadamu hufuatilia na kutamani ni matarajio aliyo nayo
anapofuata tamaa badhirifu za kimwili,
badala ya hatima, hatima inayotazamiwa na mwanadamu.
Yale ambayo Mungu amemwandalia mwanadamu, kwa upande mwingine,
ni baraka na ahadi zinazomngoja mwanadamu atakapotakaswa,
ambayo Mungu alimwandalia baada ya kuiumba dunia.
Hizo baraka na ahadi hazichafuliwi na fikira
ya mwanadamu na mawazo, au chaguo lake au mwili.
Hii hatima haijaandaliwa kwa mtu mahsusi,
mtu mahsusi, lakini ni mahali pa mapumziko kwa kila mwanadamu.
Hii ndiyo hatima inayofaa, hatima inayofaa kwa mwanadamu.
III
Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika
hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Jumapili, 8 Julai 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi. Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia, ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu. Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba. Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu, mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
II
Kwa sababu ni Mungu anayemfanyia mwanadamu kazi, mwanadamu ana hatima na hatima yake hivyo inahakikishwa, hatima yake inahakikishwa. Yale ambayo mwanadamu hufuatilia na kutamani ni matarajio aliyo nayo anapofuata tamaa badhirifu za kimwili, badala ya hatima, hatima inayotazamiwa na mwanadamu. Yale ambayo Mungu amemwandalia mwanadamu, kwa upande mwingine, ni baraka na ahadi zinazomngoja mwanadamu atakapotakaswa, ambayo Mungu alimwandalia baada ya kuiumba dunia. Hizo baraka na ahadi hazichafuliwi na fikira
ya mwanadamu na mawazo, au chaguo lake au mwili. Hii hatima haijaandaliwa kwa mtu mahsusi, mtu mahsusi, lakini ni mahali pa mapumziko kwa kila mwanadamu. Hii ndiyo hatima inayofaa, hatima inayofaa kwa mwanadamu.
III
Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu. Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba. Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu, mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia. Ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu. Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba. Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu, mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu,
Jumatatu, 25 Desemba 2017
Mungu Amekuja Mungu Ametawala | “Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18”
Desemba 25, 2017Kwaya-za-Injili, muziki-kwa-maisha, Ngoma-za-Sifa, nyimbo-za-injili, Sifa-na-Ibada, VIDEONo comments

Kwaya za Injili:
1.Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
2.Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi
1.Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
2.Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi
1.Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, na tena Mwisho, na tena Mwisho, na tena Mwisho. Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, Mungu ndiye Mpanzi, na Mvunaji (Mvunaji). Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji.
Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji.
Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho; Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji. Mungu Anakuwa mwili hasa kwa ajili ya kuikaribisha enzi mpya, na, kwa hakika, Anapoikaribisha enzi mpya, Atakuwa Ameikamilisha enzi ya kale wakati uo huo. Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake
na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale.
Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.Ha! Ha! Ha! Ha!
Kila wakati Yeye Mwenyewe Anapofanya kazi miongoni mwa mwanadamu, ni mwanzo wa mapigano mapya. Bila mwanzo wa kazi mpya, kwa kawaida hakungekuwa na kikomo kwa enzi ya kale. Na bila kikomo kwa enzi ya kale ni thibitisho kuwa vita na Shetani, vita na Shetani havijafika mwisho. (Ha!)
Ni kama tu Mungu Mwenyewe Anakuja miongoni mwa mwanadamu na kutenda kazi mpya ndipo mwanadamu atakapoweza kujitoa kutoka katika miliki ya Shetani, miliki ya Shetani, na kupata maisha mapya, maisha mapya na mwanzo mpya. Vinginevyo, mwanadamu ataishi milele katika enzi ya kale na milele kuishi katika ushawishi wa kale wa Shetani, katika ushawishi wa kale wa Shetani. Ha! Ha! Ha! Ha! Katika kila enzi inayoongozwa na Mungu, sehemu ya mwanadamu huwekwa huru, na hivyo, mwanadamu huendelea na kazi ya Mungu kuelekea enzi mpya.
Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale wote ambao humfuata Yeye.
Ushindi wa Mungu in ushindi, ushindi kwa wale wote wanaomfuata Yeye.
Katika kila enzi inayoongozwa na Mungu, sehemu ya mwanadamu huwekwa huru, na hivyo, mwanadamu huendelea na kazi ya Mungu kuelekea enzi mpya. Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale wote ambao humfuata Yeye. Ushindi wa Mungu ni ushindi kwa wale wote ambao humfuata Yeye.
Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho, Mungu ndiye Mpanzi na Mvunaji.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Jumapili, 17 Desemba 2017
Mungu ni Mkuu | “Upendo wa Kweli wa Mungu” Swahili Gospel Songs | Asante Mungu | Haleluya
Desemba 17, 2017Msururu-wa-MV-za-Ufalme, muziki-kwa-maisha, Ngoma-za-Sifa, Upendo-wa-Mungu, VIDEONo comments

Upendo wa Kweli wa Mungu
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Nataka kuwa na shauku ya neno Lako
katika siku zangu zote.
Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia.
Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo.
Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Ndugu! Tuinukeni na tusifu!
Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja.
Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili,
hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu
katika matendo halisi,
tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu.
Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha!
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Jumamosi, 16 Desemba 2017
Maisha Mapya Katika Ufalme - “Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja” (Video Rasmi ya Muziki)
Desemba 16, 2017Bwana-Mungu, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, muziki-kwa-maisha, Ngoma-za-Sifa, Upendo-wa-Mungu, VIDEONo comments

Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja
Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu.
Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu.
Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.
Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili. Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja.
Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu kote ulimwenguni.
Mwanzo tukiwa tumepotoshwa lakini tumeokolewa na Mungu. Tuna lugha moja na moyo mmoja, nia moja.
Tukishiriki hisia za tulipokuwa tumetengana; na uzoefu na maarifa tuliyonayo.
Sasa tumeshika mwendo adhimu wa maisha, mbele yetu, maisha anisi ya baadaye yaliyojaa tumaini na mng'aro.
Wakati anisi ujao, uliojaa mng'aro. Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; lakini hivi punde tutakuwa tumetengana.
Hali tumetwishwa mizigo ya kazi na mapenzi ya Mungu, tutatengana kwa ajili ya kazi ya Mungu.
Tunapokusanyika, sisi hucheka na kuongea kwa furaha; tunapoondoka, tunatumainishana.
Upendo wa Mungu, chanzo chetu cha kuwa watiifu hadi mwisho.
Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.