Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wimbo-wa-ibada. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wimbo-wa-ibada. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 12 Septemba 2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies

Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP, kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu. Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu, bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho. Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme, bado nitatoa matarajio mazuri zaidi. Ikiwa siwezi kuiona siku ambayo ufalme unafanikishwa, lakini naweza kumwaibisha Shetani leo, basi moyo wangu utajawa na furaha na amani. Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu. Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki. Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia. Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.
Nikiwa mfia dini, na nisiweze tena kumtolea Mungu ushuhuda, injili ya ufalme bado itaenezwa kama moto wa nyikani na waumini wasiohesabika. Ingawa sijui naweza kuitembea njia hii yenye mabonde kwa umbali gani, bado nitautoa moyo wangu unaompenda Mungu. Nikiishuhudia kazi Yake ya siku za mwisho, nikitenda mapenzi Yake duniani, ni furaha yetu kujitoa wenyewe kueneza ukweli. Bila kutatizwa na dhiki, kama dhahabu safi iliyotengeneza katika tanuu, kutoka kwa ushawishi wa Shetani kunaibuka kikundi cha askari washindi. Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu. Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki. Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia. Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.
Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu. Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki. Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia. Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.
Maneno ya Mungu yanaenea kote duniani, mwanga umeonekana miongoni mwa binadamu. Ufalme wa Kristo unainuka na unaanzishwa ndani ya dhiki. Giza liko karibu kupita, alfajiri ya haki imewadia. Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda. Wakati na uhalisi umemtolea Mungu ushuhuda.
kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu video
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wimbo wa ibada

Jumatatu, 29 Januari 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

I Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo. Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye. Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, fikiria niliyoyafanya. Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, sasa nauona ukweli. Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi, kutimiza wajibu wangu. Kwa hali, kushindana na Mungu, mimi siheshimiki. Mungu bado Mungu, mtu ni mtu—mimi ni mjinga sana. Mjinga na mwenye kiburi kiasi cha kutoijua nafsi yangu halisi. Nilikosa aibu na kutahayarika; moyo wangu umejaa majuto. Najichukia mwenyewe, bila kujua kile ninachoishia. Shetani alinikanyaga kwa miaka mingi sana, nikawa mdharauliwa. Wakishapewa sumu na yule Mwovu, wanadamu wamepotea. Kama sitabadilishwa na kuzaliwa upya, sina maisha ya kweli.
II Tabia yangu potovu hunisumbua, huduma yangu bado i bure. Ni mjinga wa kumjua Mungu, na kujawa na dhana; jinsi gani mimi singepinga? Mungu hunihukumu, kwa uasi wangu, na ukosefu wa uadilifu. Nimeuona upendo wa kweli wa kuadibu na kuhukumu. Mungu ni mwenye haki, mimi nina hakika kabisa. Niko ana kwa ana naye. Wokovu wa vitendo wa Mungu umenisaidia kufika umbali huu. Uhalisi wa Mungu na uweza wake, vimefichuliwa kikamilifu kwa mtu. Kwa kuishi katika mwanga, namjua Mungu na kuuona uzuri wake. Nikiwa na nia ya kutimiza wajibu, Nitamtosheleza Mungu na kumpenda.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.