Jumatano, 21 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (5): Upingaji wa Ajabu wa Mkristo wa Mawazo ya Mchungaji wa Utatu

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (5): Upingaji wa Ajabu wa Mkristo wa Mawazo ya Mchungaji wa Utatu

CCP kinamkaribisha mchungaji na Kanisa la Utatu kujaribu kumtia kasumba na kumbadilisha Mkristo mmoja. Huyu Mkristo na mchungaji wanafungua mjadala mzuri katika kukabiliana na dhana zilizotolewa na mchungaji wa Utatu. Je, Mkristo huyu atampingaje huyu mchungaji? Kwa nini jaribio hili la CCP katika kutia kasumba na ubadilishaji utaishia kushindwa?
Mwenyezi Mungu alisema, Katika uzoefu mzima wa Petro, alikuwa amevumilia mamia ya majaribio. Ijapokuwa watu sasa wanajua neno “jaribio” hawaelewi kabisa maana yake halisi au hali. Mungu huichovya uamuzi wa mwanadamu, husafisha ujasiri wake, na hufanya kila sehemu yake kuwa kamili, kufikia hili hasa kwa njia ya majaribio. Majaribio pia ni kazi ya siri ya Roho Mtakatifu. Inaonekana kwamba Mungu amemtelekeza mwanadamu, na hivyo mwanadamu, kama si makini, atayaona kama majaribu ya Shetani. Kwa kweli, majaribu mengi yanaweza kuchukuliwa kama majaribu, na hii ndiyo kanuni na amri ya kazi ya Mungu. Ikiwa mtu huishi kwa kweli mbele ya Mungu, atayaona kama majaribio ya Mungu na asiyaache yapite. Ikiwa mtu anasema kwamba kwa sababu Mungu yu pamoja naye Shetani hakika hawezi kumkaribia, hii siyo sahihi kabisa. Inawezaje kuelezwa kwamba Yesu alikabiliwa na majaribu baada ya Yeye kufunga jangwani kwa siku arobaini? Kwa hivyo ikiwa mtu ameyaweka sawa maoni yake juu ya kumwamini Mungu, atayaona mambo mengi kwa uwazi zaidi na hatakuwa na ufahamu wa kuegemea upande mmoja na wa uongo. Ikiwa mtu amefanya uamuzi wa kweli kukamilishwa na Mungu, anahitaji kukabiliana na masuala ambayo yeye hukabiliwa nayo kutoka katika pembe nyingi tofauti, wala asiegemee upande wa kushoto wala wa kulia. Ikiwa huna ufahamu wa kazi ya Mungu, hutajua jinsi ya kushirikiana na Mungu. Ikiwa hujui kanuni za kazi ya Mungu na haujui jinsi Shetani anavyofanya kazi kwa mwanadamu, hutakuwa na njia ya kutenda. Ufuatiliaji wa bidii tu hautakuwezesha kupata matokeo ambayo Mungu anataka. Njia kama hiyo ya uzoefu ni sawa na ile ya Lawrence, haitofautishi na kulenga tu uzoefu, bila kujua kabisa kazi ya Shetani ni nini, ya kazi ya Roho Mtakatifu ni nini, jinsi mtu alivyo bila uwepo wa Mungu, na ni watu wa aina gani ndio Mungu anataka kuwakamilisha. Jinsi ya kutenda kwa watu tofauti, jinsi ya kufahamu mapenzi ya Mungu ya sasa, jinsi ya kujua tabia ya Mungu, kwa watu wapi, mazingira gani, na umri gani, huruma ya Mungu, uadhama Wake na haki huelekezwa—hawezi kutenganisha haya. Ikiwa mtu hana maono mengi kama msingi wake, msingi wa uzoefu wake, basi maisha hayawezekani, seuze uzoefu; yeye kwa upumbavu anaendelea kutii kila kitu, akivumilia kila kitu. Watu wote kama hao ni vigumu sana kufanywa wakamilifu. Inaweza kusemwa kuwa bila ya maono yoyote yaliyoguswa hapo juu ni ushahidi mzuri unakuwa mpumbavu, sawa na nguzo ya chumvi, daima imesimama katika Israeli. Watu kama hawa ni bure, wao ni wasio na umuhimu wowote! Watu wengine hutii kwa upofu, daima wanajijua wenyewe na hutumia njia zao za kutenda wakati wa kushughulikia masuala mapya, au kutumia "hekima" kushughulikia mambo madogo madogo ambayo hayastahili kutajwa, hao ni watu ambao hawana utambuzi, kana kwamba kwa asili walikuwa wamekubali bila malalamiko shida, daima kuwa vile vile, kamwe hawabadiliki; huyu ni mpumbavu bila ufahamu wowote. Halinganishi vipimo kwa mazingira au kwa watu tofauti. Watu kama hawa hawana uzoefu. Ninaona kwamba watu wengine wanajijua kwa kiasi fulani kwamba wakati wanakabiliwa na wale ambao wana kazi ya roho mbaya wao hata huinamisha vichwa vyao na kukubali kuwa na hatia, wasithubutu kusimama na kuwahukumu. Wakati wanakabiliwa na kazi dhahiri ya Roho Mtakatifu, hawathubutu kutii, pia, kuamini kwamba roho wabaya pia wako mikononi mwa Mungu, na hawajaribu hata kidogo kuinuka na kupinga. Hawa ni watu ambao hawana heshima ya Mungu, na kwa hakika hawawezi kubeba mizigo mizito kwa ajili ya Mungu. Watu waliochanganyikiwa kama hawa hawatofautishi. Njia hii ya uzoefu kwa hivyo inapaswa kuachwa kwa sababu haiwezi kutetewa machoni pa Mungu.
kutoka kwa Kuhusu Uzoefu

0 评论:

Chapisha Maoni