Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa la Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa la Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 24 Januari 2018

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki ,wimbo wa Kikristo

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja

I Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah … Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu. Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili. Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, Ah … ah …
II Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu kote ulimwenguni. Mwanzo tukiwa tumepotoshwa lakini tumeokolewa na Mungu. Tuna lugha moja na moyo mmoja, nia moja. Tukishiriki hisia za tulipokuwa tumetengana; na uzoefu na maarifa tuliyonayo. Sasa tumeshika mwendo adhimu wa maisha, mbele yetu, maisha anisi ya baadaye yaliyojaa tumaini na mng'aro. Wakati anisi ujao, uliojaa mng'aro. Ah … ah …
III Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; lakini hivi punde tutakuwa tumetengana. Hali tumetwishwa mizigo ya kazi na mapenzi ya Mungu, tutatengana kwa ajili ya kazi ya Mungu. Tunapokusanyika, sisi hucheka na kuongea kwa furaha; tunapoondoka, tunatumainishana. Upendo wa Mungu, chanzo chetu cha kuwa watiifu hadi mwisho. Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza. Kwa maisha mazuri ya baadaye, tutafanya lolote tutakaloweza.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Jumanne, 23 Januari 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 39. Tofauti Kati Ya Mabadiliko Ya Nje Na Mabadiliko Katika Tabia

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki , Mwenyezi Mungu,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 39. Tofauti Kati Ya Mabadiliko Ya Nje Na Mabadiliko Katika Tabia

Ni nini mnafahamu kuhusu mabadiliko katika tabia? Asili ya mabadiliko katika tabia na mabadiliko katika mwenendo ni tofauti, na mabadiliko katika matendo pia ni tofauti—yote ni tofauti kwa asili. Watu wengi wanaweka mkazo maalum kwa tabia yao katika imani yao kwa Mungu, matokeo yakiwa mabadiliko yanayofanyika katika mienendo yao.

Jumapili, 31 Desemba 2017

5. Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

5. Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena

Mwenyezi Mungu alisema , Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba ya Mungu. Leo, kuenea kwa kazi ya Mungu katika siku za mwisho kumefikia kilele chake katika China Bara.