Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Jumapili, 29 Aprili 2018

Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo. Na hivyo, waliposikia habari kuhusu kuja mara ya pili kwa Bwana, hawakuisikiliza wala kuikubali. Walidhani ni bora kukesha na kungoja. …Wakiendelea kungoja kwa kimyakimya, binamu wa Yang Hou'en, Li Jiayin alikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, na kueneza injili kwao. Baada ya majadiliano makali sana, Yang Hou'en hatimaye alielewa maana ya kweli ya “kukesha na kuomba,” na aliiweza kuona kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, njia, uzima, na hii ni sauti ya Bwana, na Mwenyezi Mungu ni kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu ambaye walikuwa wamemngoja kwa miaka mingi sana …
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Filamu za Kikristo
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?

Wachungaji na wazee wengi wa kanisa, kwa kuwa wamemwamini Mungu kwa miaka mingi, wamemfanyia Bwana kazi kwa bidii sana na wamekesha kila mara, wakingoja kurudi kwa Bwana, wanaamini kwamba wakati Bwana atakuja Atawapa ufunuo bila shaka. Je, maoni haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Je, Mungu atampa mwanadamu ufunuo haswa wakati Atapata mwili? Mwenyezi Mungu asema, "Mwanadamu haitafiti kazi mpya ya Mungu kwa utunzaji wala haikubali na unyenyekevu; badala yake, mwanadamu anachukua mtazamo wa dharau, kusubiri ufunuo na mwongozo wa Mungu. Hii siyo tabia ya mwanadamu anayeasi dhidi ya na kumpinga Mungu? Ni jinsi gani wanadamu kama hawa wanaweza kupata idhini ya Mungu?" (Neno Laonekana katika Mwili).
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Ijumaa, 27 Aprili 2018

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu

Akizungumza kuhusu kurudi kwa Bwana, Bwana Yesu alisema, “Kuweni tayari pia: kwani Mwana wa Adamu atakuja wakati ambapo hamfikiri” (Luka 12:40). "Kwani kama umeme, umulikao kutoka sehemu moja chini ya mbingu, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Lakini kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17:24-25). Unabii huu unataja "Mwana wa Adamu atakuja" au "kuja kwa Mwana wa Adamu," kwa hiyo ni nini hasa kinamaanishwa na "kuja kwa Mwana wa Adamu"? Bwana Yesu atarudi kwa njia gani? Filamu hii fupi itakufichulia ukweli.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Alhamisi, 26 Aprili 2018

Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Mwenyezi Mungu alisema, Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnausubiri kuonekana kwa Mungu?

Jumanne, 24 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Sinema za Injili

Mungu asema, "Ni viumbe wangapi wanaoishi na kuzaana katika ulimwengu mpana, wakifuata sheria ya maisha tena na tena, wakifuata sheria isiyobadilika. Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa. Na kwa hivyo wanadamu hawawezi kujizuia ila kujiuliza wenyewe; Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii? Na ni nani muumbaji wa mwanadamu? Je, kweli wanadamu waliumbwa na mazingira asilia? Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?" kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Kotekote katika enzi nyingi, watu wengi wametumia maisha yao yote kuchunguza maswali haya, lakini hakuna yeyote kwa hakika aliyepata majibu. Leo, Muumba ametuongelesha hadharani sisi wanadamu na kuyafichua mafumbo haya yote yeye mwenyewe, yote ambayo yamejumuishwa katika filamu ijayo ya hali halisi Yule Ashikiliaye Ukuu Juu ya Kila kitu. Hebu tuutambue ukuu wa Mungu juu ya vitu vyote na matendo Yake ya ajabu kwa njia ya karamu hii ya ajabu ya macho!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatatu, 23 Aprili 2018

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" (Video Rasmi ya Muziki)

Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe. Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu. Nampenda, najihisi mtamu, teseka kwa ajili Yake. Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.
Moyo wangu, Alioupewa, nahisi furaha. Nafsi yangu nzima kuishi kwa ajili Yake, haya ni maisha yangu. Kumpenda, kumtumikia, heshima kubwa kwangu. Moyo wangu hautaki kingine chochote, nimetosheka. Yajali mapenzi Yake, fikra zake, na mahangaiko Yake. Ni mapenzi yangu kumpendeza na kumtosheleza Mungu. Mimi huhudumu katika nyumba ya Mungu, nikitimiza wajibu. Humtii, kuwa mwaminifu kwake, na kujitolea. Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe. Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu. Nampenda, najihisi mtamu, nateseka kwa ajili Yake. Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo kwa Mungu,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumapili, 22 Aprili 2018

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)

Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri. Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia? Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza. Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu. Mwezi, nyuma ya upande wa pili wa anga. Usimfanye mpendwa wangu asubiri muda mrefu sana. Tafadhali mwambie Yeye ninamkosa sana. Usisahau kuubeba pamoja nawe upendo wangu, pamoja nawe upendo wangu.
Bata bukini pori katika jozi, wapuruka mbali sana. Je, watarudi na neno kutoka kwa mpendwa wangu? O tafadhali, tafadhali niazime mbawa yako. Naweza kupuruka kurudi kwa mji wangu vuguvugu. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Jinsi ninavyopenda ninaweza kuwa mzima karibuni, kuwa huru kutoka maisha machungu, ya kutangatanga. O mpendwa wangu, tafadhali nisubiri. Nitaruka mbali na anasa za dunia hii. Nitalipa wasiwasi wa mpenzi wangu. Nataka kumwambia: Usiwe na huzuni! Nitakupa jibu Unalofurahishwa nalo. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure. Hivyo juhudi Ulizolipa hazitakuwa za bure.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wimbo wa ibada,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumamosi, 21 Aprili 2018

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

La … la la la … la la la…. La … la la la … la la la … la…. Jua la haki lapanda kutoka Mashariki. Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia. Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu. Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu. Ingawa mimi huamka peke yangu asubuhi mapema, Ninahisi furaha ninapotafakaria neno la Mungu. Maneno mororo ni kama mama mpenzi, maneno ya hukumu kama baba mkali. (Ala….) Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu. A ala … a ala … a ala … a ala …. Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu. A ala … a ala … a ala … a ala …. Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu.
La la la … la la la…. La la la … la la la … la…. Mapenzi ya Mungu yamefichuliwa—kuwatimilisha wapenzi wa kweli wa Mungu. Watu wachangamfu na maasumu wote hutoa sifa kwa Mungu, na tucheze ngoma nzuri pamoja kandoando ya Mungu wa kweli. Watu wanaitwa na sauti ya Mungu kutoka sehemu mbalimbali warudi. Tumefadhiliwa kwa maneno ya Mungu. Tumetakaswa na hukumu ya maneno ya Mungu. Upendo wetu umepata nguvu kwa kusafishwa. Twahisi utamu kufurahia mapenzi ya Mungu. (Ala….) Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wa vitendo. A ala … a ala … a ala … a ala …. Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wangu. A ala … a ala … a ala … a ala …. Ni nani asiyempenda Mungu wa kuvutia? Kwa moyo wangu wote nampenda tu Mungu wangu. Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu. Asante! (Asante!) (Asante!) (Asante!) Tunakupenda!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo kwa Mungu
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Ijumaa, 20 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (1) - Ulimwengu wa Dini Umepotoka na kuwa Mji wa Babeli

Viongozi wa ulimwengu wa dini wanapotea toka kwenye njia ya Bwana na kufuata mitindo ya kidunia, pia wao hushirikiana na uasi mkali wa mamlaka ya utawala na shutuma ya Umeme wa Mashariki, na tayari wameanza kutembea kwenye njia ya upinzani kwa Mungu. Ulimwengu wa dini umepotoka na kuwa mji wa Babeli. Biblia inasema, "Na Yesu akaingia katika hekalu la Mungu, na akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, na akazipindua meza za wabadilishaji wa fedha, na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa, Na akawaambia, imeandikwa, nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; lakini mmeifanya pango la wezi" (Mathayo 21:12-13). "Babeli kuu imeanguka, imeanguka, na imekuwa makazi ya pepo, ngome ya kila pepo mwovu, na tundu la kila ndege mchafu na wa kuchukiza. Kwani mataifa yote yamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa ulimwengu wamefanya naye uasherati, na wafanya biashara wa ulimwengu wametajirika kupitia kwa utele wa uzuri wake" (Ufunuo 18:2-3).
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Alhamisi, 19 Aprili 2018

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini, inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu. Nani asiyeshangazwa na haya? Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu? Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu, lakini binadamu hafahamu. Leo, Mungu Mwenyewe ametokea kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.
Baada ya Yeye kuondoka Uyahudi, Mungu alipotea bila kuonekana. Watu wana hamu ya kumwona tena, lakini kwamwe hawajawahi kutarajia kuungana na Yeye hapa na leo. Hii itakosa vipi kuleta kumbukumbu za kitambo? Miaka elfu mbili iliyopita, Simoni mwana wa Yohana alikutana na Bwana Yesu, na akala na Bwana katika meza moja. Miaka ya kufuatia iliongeza upendo wake Kwake. Alimpenda Yesu kwa dhati. Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu, lakini binadamu hafahamu. Leo, Mungu Mwenyewe ameonekana ili kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu. kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.
Kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,wimbo wa Kikristo
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatano, 18 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (5) - Mji mkuu wa dini wa Babeli Umekusudiwa Kuangamia Chini ya Ghadhabu ya Mungu!

Ulimwengu wa dini humkaidi na kumlaani Mwenyezi Mungu, ukitenda matendo maovu yasiyohesabika, na wamekuwa kambi ya Shetani ambayo humpinga Mungu vikali. Mji mkuu wa dini wa Babeli umekusudiwa kuangamia chini ya ghadhabu ya Mungu! Ufunuo unatabiri, "Ole, ole ule mji mkuu Babeli, ule mji ulio na uwezo! kwani hukumu yako imekuja katika saa moja" (Ufunuo 18:10). Mwenyezi Mungu asema, "Tunaamini hakuna nchi ama nguvu inayoweza kuzuia yale anayotaka kutimiza Mungu. Wale wanaozuia kazi ya Mungu, wanaopinga neno la Mungu, kuvuruga na kudhoofisha mpango wa Mungu hatimaye wataadhibiwa na Mungu. Anayeasi kazi ya Mungu atatumwa kuzimu; nchi yoyote inayoasi kazi ya Mungu itaangamizwa; taifa lolote linaloinuka kupinga kazi ya Mungu litafutwa kutoka dunia hii, na litakoma kuwepo" (Neno Laonekana katika Mwili).
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumanne, 17 Aprili 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Mbili

Watu wanapokusanyika pamoja na Mimi, moyo Wangu unajawa na furaha. Mara moja, Ninatoa baraka zilizo mkononi Mwangu miongoni mwa binadamu, ili watu waweze kukusanyika kwa mkutano na Mimi, na kutokuwa maadui wanaoniasi lakini marafiki wanaotangamana na Mimi.

Jumatatu, 16 Aprili 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Moja

Sijawahi kuwa na nafasi ndani ya mioyo ya watu. Ninapowatafuta watu kweli, wao hufunga na kubana macho yao na kupuuza matendo Yangu, kana kwamba yote Nifanyayo ni jaribio la kuwafurahisha, kutokana na hilo wao daima huchukizwa na matendo Yangu.

Jumapili, 15 Aprili 2018

"Mji Utaangushwa" (3) - Ni Nini Kiini cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu?

Kwa miaka elfu mbili, ingawa waumini wote wamejua ukweli kwamba Mafarisayo walimwasi Bwana Yesu, hakuna mtu katika ulimwengu mzima wa dini anayejua hasa mzizi wa chanzo na kiini cha uasi wa Mafarisayo kwa Mungu ni nini. Ni katika kuja kwa Mwenyezi Mungu tu katika siku za mwisho ndiyo ukweli wa swali hili unaweza kufichuliwa. Mwenyezi Mungu asema, "Mafarisayo hawa kwa dutu walikuwa wakaidi, wenye kiburi na hawakutii ukweli. Kanuni ya imani yao kwa Mungu ni: haijalishia mahubiri Yako ni makubwa vipi, haijalishi mamlaka Yako ni makubwa kiasi gani, wewe si Kristo iwapo huitwi Masiha. Je, maoni haya si ya upuuzi na ya kudhihaki?" (Neno Laonekana katika Mwili). Kwa miaka elfu mbili, ingawa waumini wote wamejua ukweli kwamba Mafarisayo walimwasi Bwana Yesu, hakuna mtu katika ulimwengu mzima wa dini anayejua hasa mzizi wa chanzo na kiini cha uasi wa Mafarisayo kwa Mungu ni nini. Ni katika kuja kwa Mwenyezi Mungu tu katika siku za mwisho ndiyo ukweli wa swali hili unaweza kufichuliwa. Mwenyezi Mungu asema, "Mafarisayo hawa kwa dutu walikuwa wakaidi, wenye kiburi na hawakutii ukweli. Kanuni ya imani yao kwa Mungu ni: haijalishia mahubiri Yako ni makubwa vipi, haijalishi mamlaka Yako ni makubwa kiasi gani, wewe si Kristo iwapo huitwi Masiha. Je, maoni haya si ya upuuzi na ya kudhihaki?" (Neno Laonekana katika Mwili).