Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana|”Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu”

Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli. Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Jumatano, 5 Septemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected

Mwenyezi Mungu anasema, “Katika kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. Alipata ufahamu wa kina kwamba Yesu hakuwa kama binadamu wa kawaida. Ingawa mwonekano Wake wa binadamu ulikuwa wa kawaida kabisa, Alijaa upendo, huruma, na ustahimilivu kwa binadamu. Kila kitu alichokifanya au kusema kilikuwa chenye msaada mkubwa kwa wengine, na akiwa kando Yake, Petro aliona na kujifunza mambo ambayo hakuwahi kuyaona wala kuyasikia awali. ... Haijalishi ni vipi Yesu alivyotenda, Petro alizidi kuwa na upendo na heshima isiyokuwa na mipaka Kwake. Kicheko cha Yesu kilimjaza kwa furaha, huzuni Yake ikamtia simanzi, hasira Yake ikamtetemesha,huku huruma Zake, msamaha na ukali vyote vikamfanya kuja kumpenda Yesu kwa kweli, na akaweza kumcha na kumtamani kwa kweli. Bila shaka, Petro alikuja kutambua haya yote kwa utaratibu baada ya kuishi kando yake Yesu kwa miaka michache.” Tazama zaidi: Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kazi ya Mungu na Kazi ya Mwanadamu" (Sehemu ya Pili)
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumanne, 4 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (5) - Ni Mahali Gani Ambapo Bwana Ametutayarishia?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (5) - Ni Mahali Gani Ambapo Bwana Ametutayarishia?

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliahidi, "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3). Watu wengi wanasadiki kwamba Bwana alirudi mbinguni, hivyo ni yakini kwamba Anatutayarishia mahali sisi kule mbinguni. Je, ufahamu huu unaenda sambamba na maneno ya Bwana? Je, ni mafumbo yapi yanapatikana kwenye ahadi hii?
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kurudi kwa Yesu mara ya pili

Jumatatu, 3 Septemba 2018

FALSE DEMONSTRATIONS AGAINST THE CHURCH OF ALMIGHTY GOD REFUGEES START IN SOUTH KOREA

Executing a secret plan that Bitter Winter revealed one month ago, the CCP brings to Korea relatives of asylum seekers of The Church of Almighty God and organizes false “spontaneous demonstrations” with the help of pro-Chinese anti-cult activists.

On August 4, 2018, Bitter Winter published a secret document by the Chinese Communist Party calling for harassment in South Korea of the asylum seekers of The Church of Almighty God (CAG), a Chinese Christian new religious movement heavily persecuted in China. The CCP called for the recruitment of the relatives of the asylum seekers who still live in China, if necessary through threats and coercion, who would then call for the “return home” of the refugees (who obviously would not return “home” but, once in China, will be arrested and will thus “return” to jail). The plan also sought the cooperation of pro-Chinese activists in South Korea and anti-cultists hostile to the CAG.
Bitter Winter has now learned that the CCP’s plan is being put into execution. On August 27, Ms. O Myung-ok (吴明玉Wu Mingyu), a pro-Chinese and anti-CAG activist, published several reports on some pro-Chinese and/or anti-cult Korean media, including Religion and Truth, releasing fake news claiming that CAG members are false refugees and are abusing the refugee system, and that the belief in Almighty God leads to family disruption. These reports strongly called for the deportation of CAG members back to China.
As these media disclosed, between August 30 and September 4, more than 50 people, including a dozen of family members of CAG refugees who are in Korea, and congregants from five Korean Christian groups active in campaigns against “cults,” will demonstrate against the CAG outside the Jeju court, Jeju Parliament, the CAG community in Onsu, the CAG worship building (i.e. the place where CAG members offer prayers regularly), the Blue House (Cheong Wa Dae, the executive office and official residence of the South Korean head of state, the President of the Republic of Korea), and other places. They held a press conference on August 31 as well. All this information has been confirmed by confidential sources in Korea and by CAG members Bitter Winter interviewed.
On the afternoon of August 30, one CAG member learned from his mother, who currently lives in China, that CCP officers had gone to his family two months ago, asking his relatives to cooperate with them by going to Korea to get him back to China. At a rough estimate, more than 10 relatives of CAG members were requested by the CCP to do the same thing. The CCP especially opened a WeChat account to have frequent discussions with them about this. This member’s mother also told him that his elder sister and her husband were on the way to Jeju with governmental staff members. They were asked to stay in South Korea for as long as possible. His mother insisted, “Things are getting serious. You’d better come back with them, or else we’ll get into big trouble.”
Another Korean CAG member and her husband, who are Korean Chinese, fled to Korea because of the CCP’s persecution in China. On August 29, when she made a phone call to her mother, who lives in China, she was told that her mother and cousin (male) would come to Korea to visit her and that they were waiting for the plane flying to Jeju at the moment. The CAG member told her mother that they live in Seoul and asked her to fly to Seoul directly. But her mother said she couldn’t do that since they had to stay in Jeju for two days and then go to Seoul later as scheduled, and that their hotel rooms in Jeju had already been booked. The CAG member noticed that her mother hesitated over talking and even left to her cousin the conversation when she couldn’t make herself clear. It is important to note that this cousin is working for a governmental television station in China.
On the afternoon of August 30, Ms. O Myung-ok went to the airport to pick up five cameramen (three males and two females) flying from Seoul. As far as we have learned, some 15 Chinese relatives had arrived in Jeju, while Chinese officers are also coming to Korea to direct the campaign on site. According to their agenda, on August 31 and September 1, they will stage demonstrations at the Jeju court and the Parliament building and organize press conferences; they will stage demonstrations at the CAG community in Onsu on September 2, at the Blue House on September 3, and at the CAG worship building on September 4 respectively.
When CAG refugees learned that their family members were coming to Korea, they asked to meet them as soon as possible. So The Church of Almighty God contacted the Korean police on their behalf, asking for help to arrange meetings with their family members. When the police contacted Ms. O Myung-ok, she said she couldn’t let them meet each other until they finish the demonstrations and press conferences.
We have learned from informed Korean sources that Ms. O and the CCP claim that The Church of Almighty God is trying to prevent its members to meet their relatives coming from China to Korea. This is not the case, and in fact, it is Ms. O who is preventing the relatives to meet the CAG members. Obviously, the CCP and the anti-cultists are interested in their propaganda rather than in the welfare of the families.
Nine international NGOs specialized in the defense of religious liberty, including CAP-LC, which has consultative status at the United Nations’ ECOSOC, have signed an appeal (below), dated August 31, to end this ruthless persecution of harmless refugees, strongly condemning the actions of both the CCP and the Korean anti-cultists.




Ms. O Myung-ok
Ms. O Myung-ok


The Appel of the Nine NGOs
Stop the Persecution of Chinese Refugees of The Church of Almighty God in South Korea
Heavily persecuted in China, with many documented cases of torture and extra-judicial killings, hundreds of members of The Church of Almighty God have escaped to South Korea, where they are seeking refugee status. The Chinese Communist Party (CCP) is pursuing them also in Korea. It has coerced or persuaded with threats their relatives to go to Korea and ask that the refugees “return home,” i.e. go back to China where they would not go “home” but to jail, and is staging false “spontaneous demonstrations” with the help of local organizations against the “cults.”
It is a scandal that for the CCP persecuting religious dissidents in China is not enough. They are pursued even in the countries where they have escaped, with the help of misguided “anti-cultists” and pro-Chinese sympathizers.
We ask the Chinese authorities to immediately stop this campaign of hate against harmless refugees, and the Korean authorities to grant asylum to the believers of The Church of Almighty God who, should they return to China, would face arrest, detention, and probable torture.
August 31, 2018

CAP-LC Coordination des Associations et des Particuliers pour la Liberté de Conscience
CESNUR – Center for Studies on New Religions
EIFRF European Inter-Religious Forum for Religious Freedom
FOB – European Federation for Freedom of Belief
FOREF – Forum for Religious Freedom Europe
HRWF – Human Rights Without Frontiers
LIREC – Center for Studies on Freedom of Belief, Religion and Conscience
ORLIR – International Observatory of Religious Liberty of Refugees


Soteria International
From: Bitter winter

Jumapili, 2 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (4) - Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (4) - Je, Ufalme wa Mbinguni uko Mbinguni au Ulimwenguni?

Watu wengi walio na imani kwa Bwana wanasadiki kwamba ufalme wa mbinguni uko mbinguni. Je, hivyo ndivyo ilivyo kwa kweli? Sala ya Bwana inasema: "Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni" (Mathayo 6:9-10). Kitabu cha Ufunuo kinasema, "Falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake" (Ufunuo 11:15). "Mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni, … maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu" (Ufunuo 21:2-3). Hivyo, ufalme wa mbinguni uko mbinguni au ulimwenguni?
Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu video
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Hukumu ya Kristo,

Jumamosi, 1 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (3) - Nani Atanyakuliwa Kwanza Wakati Bwana Atakaporudi?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (3) - Nani Atanyakuliwa Kwanza Wakati Bwana Atakaporudi?

Wengi wa wale wanaomsadiki Bwana wanasadiki kwamba mradi tu wajitolee, wajitumie, na kutia bidii, bila shaka watakuwa miongoni mwa wale wa kwanza kunyakuliwa. Lakini je, kuna msingi wowote wa haya katika maneno ya Bwana? Bwana Yesu alisema, "But many that are first shall be last; and the last shall be first" (Mathayo 19:30). "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Ni wazi kwamba kama mtu anaweza kunyakuliwa au la kunaamuliwa na kama ataisikia sauti ya Bwana. Wale wanaoisikia kwanza sauti Yake na kukubali kuonekana Kwake na kazi ni wanawali wenye hekima, na watakuwa wa kwanza kunyakuliwa.
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wafuasi wa Kristo

Ijumaa, 31 Agosti 2018

wimbo wa Kikristo | Upendo wa Kweli wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu

wimbo wa Kikristo | Upendo wa Kweli wa Mungu

I
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa neema Yake. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
II
Nataka kuwa na shauku ya neno Lako katika siku zangu zote. Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia. Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo. Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
III
Ndugu! Tuinukeni na tusifu! Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja. Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili, hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu katika matendo halisi, tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu. Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha! Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia na kunistawisha ili nikuwe. Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena. Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako. Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda! Kwa sababu Umetuinua. Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda! Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Umeme wa Mashariki Nyimbo

Alhamisi, 30 Agosti 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (2) - Je, Unafahamu Fumbo la Kuonekana kwa Mungu?

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (2) - Je, Unafahamu Fumbo la Kuonekana kwa Mungu?

Waumini wengi ndani ya Bwana wanasadiki kwamba Bwana atarudi kwa utukufu, akishuka juu ya wingu na kuonekana kwa watu wote, hivyo siku zote wanayaangalia mawingu kwenye mbingu, wakisubiria Bwana kushuka akiwa juu ya wingu, na kunyakuliwa hadi kwenye mbingu na kukutana na Yeye. Je, dhana hii inaenda sambamba na ukweli? Mtu anafaa kufahamu vipi kuonekana kwa Mungu na kazi? Kuonekana kwa Mungu kunayo mafumbo ya aina gani?
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ujio wa pili wa Yesu

Jumatano, 29 Agosti 2018

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi

Swahili Christian Movie "Kutamani Sana" (1) - Hivyo Hivi Ndivyo Bwana Anavyorudi

Waumini wengi ndani ya Bwana wameusoma unabii ufuatao wa kibiblia: "Wao watamwona yule Mwana wa Adamu akifika kwa mawingu ya mbinguni akiwa na nguvu na utukufu mkubwa" (Mathayo 24:30). Wanasadiki kwamba wakati Bwana atakaporudi, ni yakini kwamba Atashuka akiwa juu ya wingu, lakini kuna unabii mwingine katika Biblia unaosema: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15). "Na kukawa na kelele saa sita ya usiku, Tazama, anakuja bwana arusi; ondokeni nje ili kumkaribisha" (Mathayo 25:6). Ni wazi kwamba kunao unabii kwamba Bwana atakuja kwa siri mbali na ule unabii kwamba Atakuja waziwazi akiwa juu ya wingu. Hivyo ukweli ni upi kuhusu kurudi Kwake?
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ujio wa pili wa Yesu

Jumanne, 28 Agosti 2018

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

Swahili Gospel Song Video "Shukrani na Sifa kwa Mwenyezi Mungu" | God Guided Me to a New Life

I
Tumeletwa mbele ya Mungu. Maneno Yake tunakula na kunywa. Roho Mtakatifu anatupa nuru, tunaelewa ukweli anaonena Mungu. Mila za dini, tumezitupa, minyororo yote. Isiyozuiliwa na sheria, mioyo yetu inawekwa huru. Na sisi tunafurahi iwezekanavyo, tukiishi katika nuru ya Mungu, kufurahi iwezekanavyo, kuishi katika nuru ya Mungu. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, tuna njia ya kubadilika, na imani yetu isiyo dhahiri inapungua. Tunaimba sifa, ee.
Tunamfuata Mungu kwa karibu, mafunzo ya ufalme tunayakubali. Hukumu za Mungu ni kama upanga, ikifunua mawazo tuliyo nayo. Kiburi, ubinafsi, na udanganyifu havifichiki. Hapo tu ndipo ninaona ukweli wangu. Kwa aibu ninamwangukia Mungu, nimefichuliwa. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, anayeonyesha ukweli kwa wanadamu wote. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, sisi tuko uso kwa uso na Mungu, na katika furaha Yake tunafurahia. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu. Wewe ni mtakatifu, Wewe ni mwenye haki, ee. Tamanio langu ni kutenda ukweli, kuacha mwili, kuzaliwa upya, kuufaraji moyo Wako. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, hukumu Yako imeniokoa kweli. Shukrani na sifa kwa Mwenyezi Mungu, tabia yangu imebadilika. Kwa sababu Yako, nimebarikiwa, ee, nimebarikiwa.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ngoma za Sifa

Jumatatu, 27 Agosti 2018

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Have You Been Rapturned? | "Kutamani Sana" | Swahili Christian Movie

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi Wake: "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3). Kwa sababu ya hili, vizazi vya waumini vimeendelea kujawa na tumaini na kushikilia maombi kwa ajili ya kutimizwa kwa ahadi ya Bwana, na kutumaini na kuomba kwamba wanyakuliwe hadi kwenye mbingu ili kukutana na Bwana na kuingia katika ufalme wa mbinguni wakati Bwana atakapokuja. Huu pia unamfafanua mhusika mkuu wa filamu, Chen Xiangguang. Ni mtafutaji mwenye shauku kubwa, anaieneza injili, na kumshuhudia Bwana ili kukaribisha kurudi kwa Bwana. Licha ya kuachishwa kazi shuleni na kushindwa kupata huruma kutoka kwa familia yake, katu hakati tamaa moyoni mwake. Siku moja akiwa kwenye kikao, Chen Xiangguang anakamatwa na kutiwa gerezani na serikali ya Kikomunisti ya Kichina. Kupitia kwa utawala na mipangilio ya ajabu ya Mungu, anakutana na Zhao Zhiming, Mkristo kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Zhao Zhiming anamtolea ushuhuda kuhusu kuonekana kwa Mungu na kazi katika siku za mwisho na kumtatulia miaka yake ya mawazo na fikira kwa kutumaini na kuomba kwa ajili ya kurudi kwa Bwana. Baada ya kutoka gerezani, Chen Xiangguang anawaongoza kaka na dada zake katika kuchunguza kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kila mtu hatimaye anafahamu maana ya kunyakuliwa hadi kwenye ufalme wa mbinguni, haijalishi kama ufalme umo hasa ulimwenguni au mbinguni, na namna ambavyo watu wanafaa kukaribisha kurudi kwa Bwana …
Soma Zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Sinema za Injili

Jumapili, 26 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili"


Wimbo wa Maneno ya Mungu "Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili"

I
Mungu alikuja duniani hasa kutimiza ukweli wa "Neno kuwa mwili." (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa, Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni). Kisha, yote yatatimizwa katika enzi ya Ufalme wa Milenia kuwa ukweli ambao watu wanaweza kuona, ili watu waweze kuona utimizaji hasa kwa macho yao wenyewe. Hii ni maana ya kina ya Mungu kuwa mwili. Yaani, kazi ya Roho imekamilika kupitia kwa mwili na neno. Hii ni maana ya kweli ya "Neno kuwa mwili, Neno kuonekana katika mwili."
II
Ni Mungu tu Anayeweza kuzungumza mawazo ya Roho, na ni Mungu tu katika mwili anayeweza kuzungumza kwa niaba ya Roho. Neno la Mungu linaonekana katika Mungu aliyepata mwili. Mtu yeyote yule ataongozwa na hili, hakuna anayeweza kuzidi hili na kila mtu anaishi ndani ya mipaka hii. Kutokana na tamko hili watu watapata ufahamu; isipokuwa kupitia haya matamshi hakuna atakayeota kuhusu kupokea tamko kutoka mbinguni. Haya ni mamlaka ambayo yameonyeshwa na Mungu kuwa mwili, ili kila mtu ashawishike.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumamosi, 25 Agosti 2018

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us

I
Ee Bwana, Nimefurahia nyingi ya neema Yako. Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani? Je, sijapata ukweli na uzima?
II
Kusoma maneno haya kunaweza kuyajibu maswali yako. "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atajua Mungu na kuidhinishwa na Mungu. Kama hutatafuta njia ya maisha inayotolewa na Kristo wa siku za mwisho, basi kamwe hutapata kibali cha Yesu, na kamwe hutahitimu kuingia lango la ufalme wa mbinguni, kwa ajili nyote ni makaragosi na wafungwa wa historia" (Kitabu Chafunguliwa na Mwanakondoo). Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ameonyesha ukweli wote kutakasa, kuwaokoa wanadamu, kumletea mwanadamu njia ya uzima wa milele. Kwa kukubali na kutii kazi ya Mungu, kutenda na kupitia maneno Yake, mwanadamu anaweza kuelewa ukweli na kupata uzima.
III
Mungu alinichagua kutoka katika bahari kubwa ya watu, na kupanga kwa njia ya kimiujiza kwamba nije upande Kwake. Maneno Yake yenye fadhili yameupa moyo wangu upendo. Nikiwa na ukweli, naishi katika furaha isiyo na mwisho. Sauti hiyo ya kawaida, sura hiyo nzuri havijabadilika tangu mwanzo. Katika familia ya Mungu ninaonja utamu wa upendo Wake. Ninaegemea karibu na Yeye na sitaki kuondoka tena. Bila Mungu, siku zilikuwa ngumu kustahimili. Niliyumbayumba pamoja na kila hatua iliyojaa machungu. Ni kwa ulinzi wa siri wa Mungu tu kwamba nilifikia leo. Na sasa nikiwa na maneno ya Mungu upande wangu mimi nimeridhika.
IV
Muda unapopita yanakuja mabadiliko makubwa. Lakini hakuna chochote kitakachofuta moyoni mwangu upendo wangu kwa Mungu. Ahadi ya maelfu ya miaka, kiapo kisichobadilika. Baada ya mizunguko mingi ya maisha na kifo ninarudi upande wa Mungu. Amepanda maisha moyoni mwangu. Maneno Yake yananilisha na kuninyunyizia maji. Kupitia mateso na taabu maisha yangu yanazidi kuwa yenye nguvu. Barabara mbaya na kushindwa ni misingi ya mafunzo kwangu. Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko. Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa. Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele. Mungu hajawahi kuondoka upande wangu. Kwa kimya, anajitolea kwa ajili ya binadamu kamwe bila neno la malalamiko. Nitatupilia mbali tabia yangu potovu na nitatakaswa. Kisha ninaweza kuandamana na Mungu milele.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Ijumaa, 24 Agosti 2018

Swahili Christian Variety Show "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Swahili Christian Variety Show "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu. Kupitia ushirika wa Dada Zheng kuhusu ukweli, Zhao anaishia kuwa na utambuzi na kufahamu kwamba kukaribisha kurudi kwa Bwana, anapaswa kuzingatia kuisikia sauti ya Mungu, hiyo ndiyo njia pekee ya kufuata nyayo Zake. Kufuata na kuwaabudu wachungaji na wazee bila kufikiria hakika ni kuchukua mwelekeo mbaya.
Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu video
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, kumfuata Mungu

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

Chen Zhi alizaliwa katika familia iliyokuwa masikini. Shuleni, "Maarifa yanaweza kubadilisha majaliwa yako" na "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake" kama alivyofundishwa na shule ikawa wito wake. Aliamini kuwa almuradi angefanya kazi kwa bidii siku zote, angeweza kuwa bora kuliko wenzake, na kujipatia sifa na umaarufu. Baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu, Chen Zhi alipata kazi iliyolipa vizuri sana katika biashara ya nchi za nje. Hata hivyo, hakuridhika na hali aliyokuwa kwa wakati huo hata kidogo. Ili kutimiza njozi yake ya kuwa bora kuliko wengine, aliacha kazi yake na kuanzisha kampuni yake ya kuuza bidhaa. Lakini nyakati nzuri hazikudumu kwa muda mrefu. Kwa vile operesheni haikuendeshwa vizuri, wateja wakawa wachache, na biashara ya kampuni hiyo ikapungua. Hatimaye, kampuni haikuweza kuendelea kufanya kazi. Baada ya kampuni hiyo kufilisika, Chen Zhi hakuwa na nia ya kukubali kushindwa hata kidogo. Aliamini kwamba kwa kutegemea akili na uwezo wake, alimuradi angevumilia angeweza kurudi. Baadaye, Chen Zhi alianzisha tovuti ya mauzo ya mtandaoni na kuanzisha biashara kwenye Mtandao. Baada ya kujishughulisha kwa miaka kadhaa, hakufaulu bado. Chen Zhi akatumbukia katika lindi kuu la huzuni kubwa na kutojiweza ...
Mnamo mwaka wa 2016, familia ya Chen Zhi ilienda Marekani kuishi. Kwa msaada wa mkewe, alikubali kazi ya siku za mwisho za Mwenyezi Mungu. Kupitia kusoma maneno ya Mungu, Chen Zhi hatimaye alielewa kwamba Mungu anadhibiti majaliwa ya wanadamu, na kwamba mtu hawezi kabisa kubadili hatima yake mwenyewe kutegemea uwezo wake mwenyewe. Alijua pia chanzo cha dhiki ya mwanadamu maishani mwake, na jinsi Shetani amewapotosha wanadamu. Alijua kwamba ikiwa mtu ataishi maisha yenye maana, basi lazima aje mbele za Mungu, akubali hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mungu ili kupata utakaso, na kuishi kwa kutegemea maneno ya Mungu, na ni hapo tu ndio atapata sifa ya Mungu . Chen Zhi alielewa ukweli fulani katika maneno ya Mwenyezi Mungu, akaanzisha mtazamo sahihi juu ya maisha, alimwaminia Mungu maisha yake yote, akatii udhibiti wa Mungu na mipangilio Yake, na hatimaye kujiondoa jozi katika nafsi yake ya "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake, "na kupata ufunguliwaji na uhuru. Kutoka wakati huo kuendelea alitembea kwenye njia angavu na sahihi ya maisha.
Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Maisha ya Kanisa